Fadi al Batsh

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya usalama ya harakati za kupigania ukombozi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza yamefanikiwa kumnasa mmoja wa wahusika wa mauaji ya kigaidi ya msomi na mwanasayansi wa Kipalestina aliyeuliwa huko Malaysia.
Habari ID: 3474795   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/11